![]() |
| Askari polisi wakiwa wamepakia kwenye gari miili ya majambazi wawili waliouwawa baada ya mapambano ya risasi baada ya kutaka kupora pesa katika duka la Mpesa/Tigo Pesa/Airtel Money mtaa wa Mkunguni jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo. Chini ni umati uliokusanyika sehemu ya tukio. |


.jpg)
No comments:
Post a Comment