Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano
wa Biashara ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye
Hoteli ya serena jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa FMD yenye makao yake Nchini Kenya
Bw. Fergus Robley wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara
ya kilimo kwa Nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki kwenye Hoteli ya serena
jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2015.




No comments:
Post a Comment