KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 28, 2015

MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA -JANUARI 28,2015

1
Spika wa Bunge Anne Makinda akizungumza Bungeni Mjini Dodoma Januari 28, 2015.
2
Spika wa Bunge, Anne Makinda akitoka Bungeni baada ya kulazimika kuahirisha kikao kabla ya muda wake.
3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Viti Maalum, Anna Abdallah (kulia) na Mary Mwanjelwa kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma.
4
Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge  (kulia) na Mbunge wa Mji  Mkongwe Ibrahim Sanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili kwenye viwanja vya Bunge mjini  Dodoma Januari 28, 2015.
(Picha zote na Ofisiya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment