Wawasilishaji kutoka kampuniya PUSH
OBSERVE wakiwaelezea maafisa mawasiliano huduma wanazotoa ikiwa
ufuatiliaji wa taarifa mbalimbali kwenye vyombo vya habari na mitandao
yakijamii pia utoaji wa taarifa wajumbe kupitia mitandao ya simu (Bulk
messages)
Mwenyekiti wa Mudawa Chama cha
Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bw. Innocent Mungy akitoa taarifa
ya utekelezaji wakazi wa chama hicho kwa Maafisa Mawasiliano wakati wa
ufungaji wa kikao kazi cha Maafisa ha oleo MkoaniMtwara.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga akiwaeleza Maafisa
Mawasiliano Serikalini umuhimu wakuwa na ushirikiano na vyombo vya
Habari kwa dhumuni la kuieleza jamii nini serikali inakifanya, pia
aliwataka kuendelea kuongeza juhudi katika utendaji kazi kupitia mafunzo
waliyoyapata katika kikao kazi hicho.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa
Mtwara, Bw.Johansen Bukwari akiongea na Maafisa Mawasiliano Serikalini
ambapo alisisitiza umuhimu wa Maafisa Mawasiliano kutoa taarifa za
Serikali kwa Umma.






No comments:
Post a Comment