KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 30, 2015

NDUGU KINANA AZURU KABURI LA DK.OMAR ALI JUMA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitia sahihi kitabu cha wageni kwenye kaburi la hayati Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma  lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba
Kaburi la aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ,Hayati Dk.Omari Ali Juma aliyefariki tarehe 4 Julai 2001
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) akiwa na Sheikh  Ali Abdala Ali pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Vuai Ali Vuai , Balozi Ali Karume(kushoto) wakizungumza baada ya kuzuru kabuli la aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hayati Dk.Omar Ali Juma wakiomba dua kwenye kaburi lake lililopo Wawi Mchekeni, Chake Chake ,Pemba

No comments:

Post a Comment