Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano toka Wizara ya Nishati na Madini Bi. Badra
Masoud akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya Mafunzo kutoka
kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell jana Mjini Mtwara.
Afisa
Mawasiliano wa Ofisi ya Rais Sekretariat ya Ajira katika Utumishi wa
Umma Bw. Kassim Nyaki akitoa somo kwa Maafisa Mawasiliano mara baada ya
Mafunzo kutoka kwa Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell jana Mjini
Mtwara.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akimshukuru Mkufunzi toka Uingereza Bw. Simon McDowell mara baada ya kumaliza mafunzo yake ya Siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa kikao kazi cha Maafisa hao jana Mjini Mtwara.


No comments:
Post a Comment