KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 31, 2015

SIMBA YAING'ATA JKT RUVU STARS 2-1

Mashabiki wa timu ya Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo na JKT Ruvu Stars FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Simba imeshinda mabao 2-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ramadhan Shamte wa JKT Ruvu akimtoka Emanuel Okwi wa Simba, wakati wa mchezo huo.
Ramadhan Shamte wa JKT Ruvu akipambana na Emanuel Okwi wa Simba, wakati wa mchezo huo.
Emanuel Okwi wa Simba akimnyanganya mpira Ramadhan Shamte wa JKT Ruvu katika mchezo huo.
Emanuel Okwi wa Simba, akishikiliwa na Ramadhan Shamte wa JKT Ruvu.

No comments:

Post a Comment