Mwenyekiti
wa Chama cha Wananchi(CUF) Prof. Ibrahim Lipumba akiwa anaongea na
Askari kabla ya muda mfupi kuanza sekeseke kwa Askari kuwapiga
Wafuasi wa Chama hicha maeneo ya mtoni Dar es Salaam jana.
Askari akiwa anatoa amri
Akibadilishana hoja na askari
Wanahabari wakifuatilia kwa makini matukio katika kashkash hilo
Patashika mfuasi wa chama hicho na askari
Askari
wakiwa na mfuasi wa chama cha CUF na katikati mwenye kofia nyekundu ni
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi(CUF) Prof. Ibrahim Lipumba.
Katika jitihada kumsalimisha Mwenyekiti wao
Mfuasi wa CUF , katika kujiokoa na hatimaye kuzidiwa nguvu na kushambuliwa sehemu mbalimbali za mwili.
Mfuasi wa chama hicho akiwa katika wakati mgumu Dar es Salaam hivi karibuni maeneo ya Mtoni .
Kipigo kikiendelea.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi(CUF) Prof. Ibrahim Lipumba akiwa katika Gari maalum la Polisi.
No comments:
Post a Comment