Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla, Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Christina
Mndeme na Inj. Salum Chusi wa Wizara ya Maji (nyuma) wakiangalia pampu
ya maji ya mradi wa Simbay katika ziara yake ya kukagua utekelezaji na
uzinduzi wa miradi ya maji mkoani Manyara jana.
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa kwenye tanki la maji la mradi wa maji wa Simbay, wilaya ya Hanang mkoani Manyara.
Naibu
Waziri wa Maji, Amos Makalla akizindua rasmi mradi wa maji wa kijiji
cha Simbay, Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara katika ziara yake aliyoanza
mkoa wa Manyara jana, akiwa pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,
Mahusiano na Uratibu na Mbunge wa Hanang, Dk. Mary Nagu na Mkuu wa
Wilaya ya Hanang, Christina Mndeme.
No comments:
Post a Comment