Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (Tanzania Bloggers Network – TBN ), Joachim Mushi (kulia) akitoa pole na kisha kukabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000/-) jana zilizotolewa kwa mwanahabari wa Kitulo FM ya Njombe Bw. Conrad Mpila kama pole toka TBN baada ya kupoteza ndugu watano wa familia moja katika ajali ya moto iliyotokea hivi karibuni na kuua watu sita eneo la Kipunguni jijini Dar es
Salaam. Katikati ni mmoja wa wajumbe wa TBN, Dotto Mwaibale. TBN
ilishiriki katika mazishi ya marehemu hao sita waliozikwa jana katika
makaburi ya Airwing, Dar es Salaam. Picha na Francis Dande.
Salaam. Katikati ni mmoja wa wajumbe wa TBN, Dotto Mwaibale. TBN
ilishiriki katika mazishi ya marehemu hao sita waliozikwa jana katika
makaburi ya Airwing, Dar es Salaam. Picha na Francis Dande.
Joachim Mushi akikabidhi ubani huo
Bw Mushi anamfariji mfiwa
No comments:
Post a Comment