KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 11, 2015

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CUBA LEO

S2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.


S1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajiliya mazungumzo.
S3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mgeni wake  Balozi wa Jamhuri ya Cuba Nchini Tanzania Jorge Luis Lopez Tormo baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment