![]() |
| Umati wa wananchi waliohudhuria katika uwanja huo |
Diamond Plutnamz akifanya vitu vyake kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea wakati wa sherehe za miaka 38 ya CCM.
Diamond
Plutnamz akiima pamoja na mwanamuziki Abdul Misambano wa kundi la TOT
katika sherehe za miaka 38 ya CCM mjini Songea mchana huu.



No comments:
Post a Comment