MFALME
wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' tayari yupo katika Mji
wa Songea mkoani Ruvuma akiwa na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss
Lady' tayari kwa ajili ya shoo itakayosindikiza hafla ya Chama cha
Mapinduzi (CCM) leo katika Uwanja wa Majimaji. GPL
No comments:
Post a Comment