Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimvisha joho Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimkabidhi
mkuki Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi wakati wa
kumsimika kwenye uwanja wa Uhuru Platform maarufu kama uwanja wa
Mayunga.
Saida
Karoli akitumbuiza wakati wa sherehe hizo za usimikwaji wa kamanda wa
vijana Dioniz Malinzi kwenye uwanja wa Uhuru,Mayunga Bukoba mjini.
Wananchi waliofurika kwenye uwanja wa Uhuru Platform ambapo Dioniz Malinzi alisimikwa ukamanda wa vijana mkoa wa Kagera
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Bukoba
mjini kwenye uwanja wa Uhuru Platform kwenye sherehe za usimikwaji wa
Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.







No comments:
Post a Comment