| Bondia Imani Daudi Mapambano kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika club ya Super D iliyopo Shile ya Uhuru Dar es salaam Mapambano anajiandaa na mpambano wake na Mohamed Kibwana utakaofanyika Feb 22 katika ukumbi wa Musoma bar uliopo Tandika Maguruwe Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Imani Daud Mapambano akiwa na Ibrahim


No comments:
Post a Comment