KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 27, 2015

MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI

Mabondia Mwinyi Mzengela kushoto na Shomari Milundi wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao jumamosi ya kesho feb 28 utakaofanyika uwanja wa ndani wa taifa. 

Bondia Fadhili Majiha akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Francis Miyeyusho utakaofanyika Feb 28 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa.

Bondia Epson John wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho utakaofanyika katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mratibu Antony Rutta.

Bondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika jumamosi ya Feb.28 uwanja wa ndani wa taifa picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments:

Post a Comment