Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akishuka ndege katika uwanja wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume baada ya kumaliza ziara ya Kiserikali
nchi Qatar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akivishwa shada la maua alipowasili
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea nchini
Qatar.
Waziri wa Biashara, Viwanda na
Masoko Nassor Ahmed Mazrui akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea nchini Qatar, wa kwanza
(kushoto) Waziri wa Nchi katika Ofisi yake Fatma Abdulhabib Ferej.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.





No comments:
Post a Comment