Mkurugenzi
Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Lutengano Mwakahesya (PhD)
(kushoto), pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Off Grid
Electric Ltd, wakionesha seti ya mfumo wa vifaa vya umeme wa sola
ambavyo vitatumika katika mpango wa kutumia umeme wa sola kwa nyumba
milioni 1 wakati wakiwaonesha waandishi wa habari Dar es Salaam leo
asubuhi.
Mkurugenzi
Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Lutengano Mwakahesya (PhD)
(kulia), pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Off Grid
Electric Ltd, Erica Mackey wakiteta jambo wakati wa mkutan huo na
waandishi wa habari.
Meneja
wa Miradi Maalumu wa Kampuni hiyo, James Sawabini (kulia), akiandaa
vifaa hivyo kabla wakati vikioneshwa kwa waandishi wa habari.


No comments:
Post a Comment