KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 18, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KITAIFA KUHUSU WATOTO WALIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

Displaying 1B.jpg
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed  Gharib Bilal, akizungumza wakati akifungua rasmi Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Displaying 3.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, baada ya kuzindua rasmi vitabu hivyo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik
Displaying 6.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Ummy Mwalimu, Vitabu vya Miongozi kuhusu huduma za Watoto walio katika Mazingira Hatarishi na Sheria ya Mtoto No, 21 ya mwaka 2009, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa kuhusu Watoto walio katika mazingira hatarishi, lililofanyika leo Feb. 18, 2015 kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa dare s Salaam, Said Meck Sadik na Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid
Displaying 9.jpg
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Banana Zorro (kulia) na msanii wa maigizo, Angelina Leonard, na baadhi ya washiriki katika Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akihutubia.
Displaying 10E.jpg
Msanii wa kundi la Mpoto Theatle, Angelina Leonard, akitoa ujumbe kuhusu unyanyasaji wa watoto wakati wa Kongamano hilo. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment