KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 11, 2015

PADRE AWA PAROKO PAROKIA YA BALTIMORE

IMG_0279
Baba padre Honest Munishi akiwekwa wakfu kuongoza kanisa la Katoliki la St.Edward Baltimore Md nchini Marekani katika misa iliyoongozwa na Askofu Dennis Madden wa jimbo la kuu la Baltimore, Jumapili Februari 8,2014. Padre Munishi amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Padre Evod Shao aliyemaliza muda wake.
IMG_0307
Kikosi cha wanajumuiya wa Kenya wakiimba kumpongeza padre Mushi wakati wa matoleo.
img_0276
IMG_0284
Padre Munishi akitia saini mbele ya askofu baada ya kusimikwa kuwa paroko mpya wa kanisa la Baltimore Md.
IMG_0301
Balozi Liberata Mula mula aliongoza watanzania kwenye ibada hiyo kulia kwake ni mwambata wa kijeshi nchini Marekani na Canada Kanal Adolph Mutta.

No comments:

Post a Comment