Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa jana.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akitazama ngoma ya kikundi cha Mangala baada ya kuwasili kwenye uwanja
wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Iringa baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa Nduli kuanza ziara ya kikazi mkoani Iringa.
No comments:
Post a Comment