Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akikutana na Waziri Mkuu wa Sweden Stefan Lofven jijini Addis Ababa
Ethiopia jana.Tayari Rais Kikwete amerejea nchini baada ya kumaklizika
mkutano wa wakuu wa nchi za umoja wa Afrika AU jijini Addis Ababa
Ethiopia kwa siku mbili.



No comments:
Post a Comment