Mwenyekiti wa Kamati ya Viongozi
wa Afrika Juu ya mabadiliko ya Tabia nchi(The Committee of African Heads
of State and governments on Climate change) Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akimakabidhi nakala ya Ripoti ya utendaji mwenyekiti mpya wa
kamati hiyo Rais wa Misri Abdel Fattah el Sisi wakati wa Mkutano wa
wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa Ethiopia.Rais
Kikwete alipongezwa kwa kuiwezesha kamati hiyo kupata mafanikio makubwa.
(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam
Desalegn muda mfupi kabla ya kumalizika kwa mkutano wa 23 wa kawaida wa
wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika ulifanyika katika mji Mkuu wa
Ethiopia Addis Ababa,




No comments:
Post a Comment