Mratibu wa Takwimu wa Manispaa ya
Temeke, aliyemwakilisha Mganga Mkuu wa manispaa hiyo, Dk. Samuel Lema
(wa pili kulia) akimshukuru Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke, Alen Mwebuga (kushoto), baada ya
kukabidhiwa jana kisima kipya kilichojengwa kwa msaada wa TBL kwa
gharama ya sh. mil 24 katika Kituo cha Afya cha Mbagala Round Table Dar
es Salaama. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa kituo hicho, Dk. Batuli Luhanda.
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya
cha Mbagala Round Table,Dk. Batuli Luhanda akimshukuru Mwakilishi wa
Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke, Alen Mwebuga
(kushoto), baada ya kituo hicho kukabidhiwa jana kisima kipya
kilichojengwa kwa msaada wa TBL kwa gharama ya sh. mil 24.Kulia kwake ni
Mratibu wa Takwimu wa Manispaa ya Temeke, aliyemwakilisha Mganga Mkuu
wa manispaa hiyo, Dk. Samuel Lema.
Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris
Malulu akielezea mikakati ya kampuni hiyo ya kuboresha sekta ya maji
katika baadhi ya hospitali, Vituo vya Afya na zahanati nchini, Kulia ni
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke,
Alen Mwebuga.
No comments:
Post a Comment