![]() |
| Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, akikagua sehemu ya Mtambo wa kuchakata gesi asilia wa Madimba – Mtwara wakati wa ziara aliyoifanya mwanzoni mwa wiki mkoani humo. |
Msimamizi
Mkuu wa Mradi wa Bomba la gesi, Mhandisi Kapuulya Musomba (kushoto),
akifafanua jambo kwa Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene
(wa pili kutoka kushoto) wakati akikagua nyumba za wafanyakazi wa Mtambo
wa kuchakata gesi asilia wa Madimba – Mtwara.




No comments:
Post a Comment