Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kulia) akimkaribisha
Ofsini kwake Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha – Rose Migiro
alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo
Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akiendelea na
mazungumzo na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha – Rose
Migiro(hayupo pichani) alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza,
Jijini Dar es Salaam.



No comments:
Post a Comment