![]() |
| Waziri wan chi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu Dokta Mary Nagu (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya TASAF kushoto kwake ni mkurugenzi mtendaji wa TASAF Ladislau Mwamanga (mwenye suti nyeusi). |
![]() |
| Waziri wa nchi ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu akizungumza na menejimenti ya TASAF katika ziara yake katika taasisi hiyo . |
Mkurugenzi
Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akimtembeza Waziri wan chi Ofisi
ya Rais Dokta Mary Nagu katika jingo linalotumiwa kuhifadhi kumbukumbu
za walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini.


.png)
.png)
No comments:
Post a Comment