KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 3, 2015

NHIF YAPELEKA MADAKTARI BINGWA TABORA


SAMSUNG CSC
Madaktari Bingwa (waliokaa viti vya mbele kushoto) kutoka Hosptali ya Taifa Muhimbili na Taasisi y mifupa (MOI) wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Tabora (hayupo pichani) katika uzinduzi wa huduma za Kitaalam katika Hospitali ya Kitete leo.

SAMSUNG CSC
Mkuu wa Mkoa wa Tabora (katikati) Bw. Rudovick Mwananzila akipongezana na Katibu Tawala wa Mkoa huo baada ya kupokea dawa, Vifaa tiba pamoja na mashuka kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
SAMSUNG CSC
Mjumbe wa Bodi ya NHIF, Bw. Charles Kajege akitoa ufafanuzi wa taratibu za huduma kwa wanachama wa Mfuko huo muda mfupi baada ya kuzinduliwa kwa zoezi la madaktari bingwa.

SAMSUNG CSC
Wananchi wakifuatlia hotuba kwa makini

SAMSUNG CSC
Wananchi wa Mkoa wa Tabora waliohudhuria uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment