KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 2, 2015

SAFARI LAGER NYAMA CHOMA YAFIKA KILELE MBEYA, TUMAIN BAR& LODGE WAIBUKA KIDEDEA


Mgeni rasmi katika mashindano ya safari lager nyama choma, Katibu tawala wa Wilaya ya Mbeya, Quip Mbeyela, akizungumza na wakazi wa Jiji la Mbeya kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
Mgeni rasmi akiwa meza kuu pamoja na uongozi wa TBL.Jaji Mkuu akitaja majina ya washindi
Mgeni rasmi pamoja na watumishi wa TBL wakijiandaa kutoa zawadi.
Mwakilishi wa mshindi wa kwanza ambaye ni Tumain Bar akionesha kombe juu.

No comments:

Post a Comment