KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 2, 2015

PICHA ZA TUKIO LA KUAGA MWILI WA KAPTEIN KOMBA JIJINI LEO

DSC_0003
Kada wa CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa wakati shughuli za kutoa heshima za mwisho msiba wa Captain John Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
DSC_0021
Rais mtsaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Mzee Kingunge alipowasili kwenye viwanja hivyo.
DSC_0026
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti Mtendaji wa makapuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi (katikati) pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.Shukuru Kawambwa.
DSC_0041
Naibu wa Waziri wa Fedha ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mh. Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa.
DSC_0007
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida (kushoto) akiteta jambo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Dodoma na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Mh.Adam Kimbisa, akifuatiwa na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Ndugu Christopher Ole Sendeka, kabla ya kuanza ibada maalum ya kuaga mwili wa marehemu Capt. John Komba. katika viwanja vya Karimjee jijini Dar leo.

No comments:

Post a Comment