| Je, umewahi kusikia mtu anajiita Mungu na ni binadamu wa kawaida na wafuasi wake wanaamini kuwa yeye ndiye muumba wao? Yuko magharibi mwa Kenya anajiita Jehova Wanyonyi na anadai kuwa yeye ndiye Mungu. Anaishi katika kijiji cha Chemororoch kilomita hamsini kutoka mji wa Eldoret . Wanyonyi ana watoto zaidi ya 100 na wake 10 ambao wanajiita Roho Mtakatifu. Amezungukwa na wanaume watano ambao wanajiita Malaika. |


No comments:
Post a Comment