WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO
Waziri
wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akimkabidhi cheti mwanafunzi mmojawapo katika mahafali
hayo.Waziri
wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiangalia kazi ya uchanaji wa mbao katika Shule ya
Sekondari Chato. Mbao hizo hutumika katika kazi mbalimbali za ujenzi wa
shule hiyo. Pia Dkt. Magufuli ameichangia shule hiyo kiasi cha Shilingi
Milioni tano.Waziri Magufuli akikagua moja ya computer katika shule hiyo.kushoto kwake ni Mkuu wa shule hiyo Mwalimu Mahendeka Mafele.
No comments:
Post a Comment