Meneja
wa Tigo Kanda ya Kaskazini Deogratius Ndejembi akiongea na wanachuo wa
chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) wakati wa kongamano la kuwaelimisha na
kuwasaidia wanavyuo jinsi ya kupata ajira wamalizapo masomo, kongamano
hilo lilidhamini na kampuni ya Tigo lilifanyika mwishoni mwa wiki mkoani
Arusha.
No comments:
Post a Comment