KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 9, 2015

KIKAO CHA VIDEO CONFERENCING SERIKALINICHAFANYIKA DAR

1
Maafisa wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma  wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Idara ya HABARI (MAELEZO) leo.
3
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw.Charles Senkondo (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu mawasiliano kwa njia ya video serikalini (video conferencing)katika mkutano uliofanyika Idara ya HABARI (MAELEZO) leo.Wengine ni  Mkurugenzi wa TEHAMA  Bw.Priscus Kiwango (kushoto), Mkurugenzi Msaidizi ,Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Bw.Peter Mushi (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Florence Temba (wa pili kutoka kulia)
SONY DSC
Mkurugenzi wa TEHAMA  Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Priscus Kiwango (kushoto)akifafanua namna mikutano  kwa njia ya video serikalini  inavyofanyika katika kikao na waandishi wa habari kilichofanyika Idara ya HABARI (MAELEZO) leo.Wengine ni Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw.Charles Senkondo (katikati)  na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini  Bw.Florence Temba ( kulia).                                       

No comments:

Post a Comment