![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Ofisini kwake Waziri wa Nchi Maendeleo na Francophonie wa Ufaransa Mhe. Annick Girardin, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 09, 2015. |
![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Nchi Maendeleo na Francophonie wa Ufaransa Mhe. Annick Girardin aliyeongoza ujumbe wa watu tisa, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo April 09, 2015. |




No comments:
Post a Comment