| Basi
la Ngorika likiwa halitamaniki baada ya kugongana uso kwa uso la basi
lingine la Kampuni ya RATCO katika ajali iliyotokea mapema leo kwenye
eneo la Kijiji cha Mbweni, Mkata mkoani Tanga. kwa mujibu wa Ripota wetu
aliopo eneo la tukio,inadaiwa kwamba mpaka sasa ni Watu kumi wamepoteza
maisha katika ajali hiyo, akiwepo Dereva wa Basi la Ratco.Chanzo cha
ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa. Globu ya Jamii inafanya jitihada
za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa maelezo zaidi.(KWA HISANI
YA MICHUZIBLOG) |
No comments:
Post a Comment