![]() |
| Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa shilingi 600,000 kwa kaka mkubwa wa marehemu mwanahabari Bernard R. Ishengoma ambaye ni mwanachama wa TBN, uliofanyika Mbezi Tangi Bovu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Mmoja wa viongozi wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Muhidin Issa Michuzi akitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN. |
![]() |
| Baadhi ya viongozi wa Tanzania Bloggers Network (TBN) wakitoa salam za mwisho kwa mwili wa marehemu Bernard Rwebangira. Marehemu Bernard pia ni mwanachama wa TBN. |





No comments:
Post a Comment