| Magari ya polisi yakisafirisha watuhumiwa wa vurugu kwenda kituo cha polisi kati |
![]() |
| Matairi yakichomwa moto |
![]() |
| Wananchi wakiwa katika vurugu hizo huku baadhi yao wakishuhudia Askari wa kikosi cha kutuliza
ghasia FFU mchana huu wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi
waliokuwa wameziba barabara ya Iringa -Kilolo kwa kuchoma mataili
Wananchi hao walifikia uamuzi huo Baada ya mtoto kugongwa na gari kwa zaidi ya saa Moja bila maiti kutolewa.
|




No comments:
Post a Comment