KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 12, 2015

MIKUTANO YA ACT YA ZITTO NJOMBE NA MAKAMBAKO

ZT3
Askari wa jeshi la polisi wakiimarisha ulinzi kwenye mkutano wa chama cha ACT-Wazalendo mjini Njombe jana.
ZT4
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.
ZT6
Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Njombe huku  akinyeshewa na mvua mjni humo jana ambapo wakazi waliojitokeza walikubali kurowa ili kumsikiliza.
ZT8
Kiongozi wa Chama cha Alliance For Change and  Transparency (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Makambako mkoani Njombe jana, wakati wa ziara ya chama hicho inayoendelea mikoa ya nyanda za juu kusini.                 

No comments:

Post a Comment