KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 9, 2015

SELCOM WAZINDUA UKUSANYAJI WA KODI KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC MANSIPAA YA MOROGORO

Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akiwa na Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori na Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta wakati wa uzinduzi wa mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic mkoa wa Morogoro
Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekezaKaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Bakari Sagini jinsi ya kutumia  mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa Manspaa ya Morogoro
Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekeza Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele jinsi ya kutumia  mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa Manspaa ya Morogoro
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori katikati akitoa mahelezo ya mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa mkoa wa Morogoro kulia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele na  Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta   

No comments:

Post a Comment