KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 20, 2015

UFUNGUZI NACTE INTER COLLEGE CHAMPIONSHIPS TANZANIA 2015 ULIVYOFANA

mic1
Katibu msaidizi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (NACTE) Mhe. Alex Mkondola  katikati akifafanua jambo wakati wa mchezo wa Ufunguzi kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mwishoni mwa juma(Picha kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).
mic2
Katibu msaidizi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (NACTE) Mhe. Alex Mkondola akikagua timu za Bandari na IFM wakati wa mchezo wa Ufunguzi kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mwishoni mwa juma(Picha kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment