KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 18, 2015

UMOJA WA TAASISI ZA HIJJA ZANZIBAR ZAANDAA KONGAMANO KWA MAHUJAJI WATARAJIWA

 Mwenyekiti wa Bodi ya Umoja wa Taasisi za Hijja Zanzibar  Sheikh Abdulhamid akifungua Kongamano la mahujaji watarajiwa katika ukumbi wa Beit al Yamin Malindi Zanzibar, kulia ni Mwenyekiti wa Umoja huo na kushoto Sheikh Othman Maalim
Ustaadh Khalid Mohammed Mrisho akiwasilisha mabadiliko ya taratibu mpya za Ibada ya Hijja katika kongamano la mahujaji watarajiwa lilifanyika Malindi Zanzibar.
Baadhi ya mahujaji watarajiwa wakimsikiliza Sheikh Othman Maalim alipowasilisha mada ya umuhimu wa kutekeleza ibada ya hija na madhara ya kuchelewesha kutekeleza ibada hiyo katika kongamano liliofanyika Malindi Mjini Zanzibar.
Hujaji mtarajiwa Abass Imtiyaz akiuliza swali katika kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Taasisi za Hijja Zanzibar katika ukumbi wa Beit al Yamin Malindi Zanzibar. Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
.

No comments:

Post a Comment