KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 28, 2015

WAZIRI SITTA ASISITIZA USHIRIKIANO KAZINI

3
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta (katikati) akifungua Mkutano wa wafanyakazi wa Wizara hiyo mapema jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka na kulia ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo Bwana Hassan Mabula
4
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akimshukuru Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta mara baada ya kufungua rasmi mkutano wa wafanyakazi wa wizara hiyo na taasisi zilizo chini yake.
2
Baadhi ya watumishi wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi wakiwa katika mkutano wa wafanyakazi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.                 

No comments:

Post a Comment