KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 30, 2015

BLATTER ASHINDA FIFA

Blatter
 Rais wa Fifa Sepp Blatter amechaguliwa kuliongoza shirikisho hilo kwa muhula mwingine wa miaka minne.

Katika uchaguzi uliofanyika jana, alishinda kwa kura 133 dhidi ya 73 alizopata mpinzani wake mwana wa Ufalme kutoka Jordan, Ali.

Katika hotuba yake mara baada ya kmutangazwa mshindi Blatter alisema "Siko kamili, na hakuna aliyekamili, kwa pamoja tutafanya kazi kubwa," 

Aliongeza kusema "Nitahakikisha kwamba Fifa inarudi ilipokuwa, ...tusonge mbele na Fifa"Alisema.

No comments:

Post a Comment