KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 4, 2015

MGOMO WA MADEREVA WAENDELEA KUCHUKUA SURA MPYA


Kituo cha Daladala cha Mbagala rangi tatu kikiwa kimefurika abiria kufuatia mgomo unaoendelea.
Kikosi cha usalama cha Jeshi la Polisi kikiwa katika eneo la Mbagala rangi tatu kuhakikisha hali ya usalama inapatikana kufuatia Mgomo wa Madereva wa Mabasi ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao kutoka kwa Serikali
Mabasi yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na mikoa ya kusini yakiwa yameegeshwa kwenye kituo cha Mbagala langi tatu, kufuatia Mgomo wa Madereva ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa matakwa yao kutoka kwa Serikali. hadi muda huu hakuna basi lililoanza safari kutokea kituoni hapo..
  Credit:Michuzi

No comments:

Post a Comment