KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 25, 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU DODOMA

jk1
Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa kwanza wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu mjini Dodoma.  Rais
amezindua rasmi kanuni za Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya juu wakati wa Mkutano wa Kwanza wa Shirikisho hilo uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani mjiini Dodoma leo.

No comments:

Post a Comment