Masanja Mwinamila (44) mara baada ya kufikishwa katika kituo cha Polisi Wilaya ya Nzega Juni 15, 2015.
Mtoto Margreth Hamisi Machiya (6) aliyenusurika kuuzwa akiwa hai na mjomba wake.
Mtoto Margreth baada ya kufikishwa Kituo cha Polisi Wilaya ya Nzega usiku wa manane.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Juma Bwire akizungumza
na waandishi wa habari kuhusiana na tukio hilo Juni 16, 2015.
Na Daniel Mbega, Nzega
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Nzega leo hii
imemhukumu Masanja Mwinamila (44), mkazi wa Kitongoji cha Kona Nne, Kijiji cha
Ugembe II, Kata ya Mwakashanhala, Tarafa ya Puge wilayani Nzega katika Mkoa wa
Tabora kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kuteka mtoto mwenye albinism, Margreth
Hamisi (6).

No comments:
Post a Comment