![]() |
| Mkurugenzi wa kampuni ya Azam Hussein Moh’d Said akiwaelezea Waandishi wa Habari juu ya safari ya Boti hiyo Kilimnjaro V zitakavyokuwa kati ya Zanzibar na Dari-esaalam . |
![]() |
| Captain wa Boti ya Kilimanjaro (V) Thomas akiwapa maelezo Waandishi wa Habari namana anavyoendesha Boti hiyo. |
![]() |
| Muonekano wa boti ya Kilimanjaro V. |





No comments:
Post a Comment