KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 29, 2015

HARAKATI ZA NYALANDU KUSAKA WADHAMNI ARUSHA

 WAZIRI wa Maliasili na
Utalii, Lazaro Nyalandu, na mkewe Faraja, wakilakiwa na mamia ya wanachama
wakati wakiwasili kwenye Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha,
kuomba udhamini kwa wanachama wenzake. Nyalandu anawania kuteuliwa kupeperusha bendera
ya CCM kwenye nafasi ya urais.

No comments:

Post a Comment