Mkurugenzi
wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba
Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es-Salaam jana kuhusu kuungana na
kampuni ya Huawei katika kongamano la Teknohama, kulia ni Mkurugenzi wa masoko
na mauzo wa Huawei Tanzania Samson Majwala.
|
Mkurugenzi
wa masoko na mauzo wa Huawei Tanzania Samson Majwala kiongea na waandishi wa
habari jijini Dar-es-Salaam jana kuhusu kuungana na Wizara ya Mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia katika kongamano la Teknohama kushoto ni Mkurugenzi wa
ICT katika wizara ya mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba
|
Mkurugenzi
wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba
(Kushoto) wakishikana mkono na Mkurugenzi wa masoko na mauzo wa Huawei Tanzania
Samson Majwala kuashilia kuungana katika kongamano la Teknohama.
Kampuni ya Huawei Tanzania
ikishirikiana na Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Technolojia jana ilitangaza
kuwepo kwa kongamano la kwanza la Huawei Cloud Conference katika ukumbi wa
Julius Nyerere Convential Center JNICC tarehe 18 na 19 Juni 2015.
Kongamano
hilo litajadili hali ya sekta ya tecknohama kwa sasa,sera mpya zitakazowekwa na
kuweka ajenda ya jinsi ya kukuza sekta hiyo nchini.pia kongamano hilo
litaainisha jinsi nchi itafikia malengo yake ya milenia kupitia tecknohama.
Mkurugenzi
wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Dk. Ally Simba
alisema wizara imefurahia ushirikiano huo.
“tumefurahi
sana kwamba Wizara na kampuni ya Huawei Tanzania zitashirikiana katika
kongamano hilo,ambapo tutajadiliana kwa undani ukuaji na maendeleo katika sekta
ya ICT na kwa upande wa Wizara tutaelezea sera mpya na mipango tulioweka ili kuhakikisha
maendeleo ya sekta,” alisema Simba.
Alisema aliongeza
kwamba Makamo wa Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania anategemewa kuwa
mgeni rasmi naWaziri na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na
Teknolojia na Balozi wa China nchini Tanzania watakuwepo.
Kwa upande wake,Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo
wa Huawei Tanzania, Bwana Samson Majwala aliishukuru sana Wizara kwa kukubali
kuungana na kampuni yao katika kuandaa kongamano la kwanza la Huawei Cloud
Conference nchini Tanzania.
Alisema
kongamano hili litakuwa na wataalam kutoka nyanja tofauti za Teknohama kutoka
serikalini na kampuni ya Huawei ambao wataelimisha umma kuhusu mitindo mipya
katika sekta hiyo.
“Sisi kama
Huawei tutaelezea mipango tuliyonayo ya kuboresha sekta hii nnchini Tanzania, katika
kongamano hilo tutazindua bidhaa mpya za
Oceanstor V3 na Fusonq pia kutakua na gari maalumu la kufanya maonesho.
|
HUAWEI TANZANIA NA
WIZARA YA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUUNGANA KATIKA KONGAMANO LA
TEKNOHAMA NCHINI.
Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk
Ally Simba Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es-Salaam jana
kuhusu kuungana na kampuni ya Huawei katika kongamano la Teknohama,
kulia ni Mkurugenzi wa masoko na mauzo wa Huawei Tanzania Samson
Majwala.
Mkurugenzi wa masoko na mauzo wa Huawei Tanzania Samson Majwala kiongea
na waandishi wa habari jijini Dar-es-Salaam jana kuhusu kuungana na
Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia katika kongamano la
Teknohama kushoto ni Mkurugenzi wa ICT katika wizara ya mawasiliano,
Sayansi na Teknolojia Dk Ally Simba

Ally Simba (Kushoto) wakishikana mkono na Mkurugenzi wa masoko na mauzo
wa Huawei Tanzania Samson Majwala kuashilia kuungana katika kongamano
la Teknohama
Kampuni ya Huawei Tanzania ikishirikiana na Wizara ya
Mawasiliano,Sayansi na Technolojia jana ilitangaza kuwepo kwa kongamano
la kwanza la Huawei Cloud Conference katika ukumbi wa Julius Nyerere
Convential Center JNICC tarehe 18 na 19 Juni 2015.
Kongamano hilo litajadili hali ya sekta ya tecknohama kwa sasa,sera mpya
zitakazowekwa na kuweka ajenda ya jinsi ya kukuza sekta hiyo nchini.pia
kongamano hilo litaainisha jinsi nchi itafikia malengo yake ya milenia
kupitia tecknohama.
Mkurugenzi wa ICT katika Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Dk.
Ally Simba alisema, “tumefurahi sana kwamba Wizara na kampuni ya Huawei
Tanzania zitashirikiana katika kongamano hilo,ambapo tutajadiliana kwa
undani ukuaji na maendeleo katika sekta ya ICT.Na kwa upande wa Wizara
tutaelezea sera mpya na mipango tulioweka ili kuhakikisha maendeleo ya
sekta”.
Aliendelea kwa kuwahakikishia Watanzania kwamba Wizara imejikita katika
kukuza sekta ya Teknohama.aliongeza kwamba Makamo wa Rais wa jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania anategemewa kuwa mgeni rasmi,huku pia ,Waziri na
Katibu Mkuu wa Wizaraya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia na Balozi wa
China nchini Tanzania watakuwepo.
Kwa upande wake,Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Huawei Tanzania, Bwana
Samson Majwala alisema, “tunaishukuru sana Wizara kwa kukubali kuungana
nasi katika kuandaa kongamano la kwanza la Huawei Cloud Conference
nchini Tanzania,na tunawahakikishia Watanzania wote kwamba kongamano
litapendeza.Tutakua na wataalam kutoka nyanja tofauti za Teknohama
kutoka serikalini na kampuni ya Huawei ambao watatuelimisha kuhusu
mitindo mipya katika sekta hiyo.Sisi kama Huawei tutaelezea mipango
tuliyonayo ya kuboresha sekta hii nnchini Tanzania”.
Katika kongamano hilo,Huawei watazindua bidhaa zao mpya za Oceanstor V3
na Fusonq.Pia kutakua na gari maalumu la kufanya maonesho,gari hilo kwa
kila mwaka linafanya ziara katika mabara yote duniani,na kwa mwaka wa
2015 litazuru bara la Afrika haswa Afrika kusini na Afrika
Mashariki,Tanzania ikiwemo ya nchi itakayopita.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments:
Post a Comment